Karibu Tushirikiane Kutafuta Suluhisho la shida na changamoto zetu kwa njia sahihi na Kupinga Ushirikina Ikiwemo Ukatili Na Mauaji Dhidi Ya Walemavu Wa Ngozi(Albino) Na Vikongwe Kwani Sote Tuna Haki Sawa Ya Kuishi,Elewa Kuwa Unaweza Kufanikiwa Mambo Yako Kwa Taratibu Za Kisheria, Ukihitaji Visomo Nitafute Kwa Kupiga Simu na +255756777663/
+255657404585 WhatsApp +255657404585,Twitter @HemediPalike, Email:palike83@gmail.com ;Tanzania & Dunia Salama Bila Ushirikina Inawezekana
Pages
▼
ANGALIZO MALIPO YA KUFUNGA SIKU 29/30 YANAWEZA KUHARIBIKA SIKU MOJA TU.
Ndugu msomaji,
Leo kidogo nimeona nibadilike katika mada zangu kwa ajili ya kuwakumbusha Waislam wenzangu juu ya sherehe za sikuu ya EID ili waweze kulinda malipo ya swaumu zao kwani wengi wetu wameghafilika.
Assalaam alaykum Ndugu Muislam,
Umejitahidi na kwa msaada wa ALLAH huenda ukamaliza funga
ya siku 29/30, iwapo utawafikishwa kuidiriki EID ELFITR ni bora
ukaepuka kumuasi ALLAH kwenye SHEREHE hizo, epuka kuvaa nguo
zinazoonyesha maungo yako kumbuka kuwa uchi wa mwanamke ni mwili wake
wote ispokuwa uso na viganja vya mikono HIVYO HUPASWI KUACHA WAZI SEHEMU
HIZO,Epuka ULEVI,KUMBI ZA MUZIKI(IKIWEMO KUIMBA,KUCHEZA,NA KUPIGA), ZINAA n.k kwani kufanya hayo ni
hatari sana na MTUME SWALLA LLAAHU `ALAYHI WASALLAM AMESEMA, ANAEMUASI
ALLAAH SIKU YA SIKUKUU (EID) NI KAMA AMEMUASI SIKU YA HUKUMU (KIAMA) EWE
ALLAAH SHUHUDIA KUWA NIMEWAKUMBUSHA WAJA WAKO. WASSALAAMU `ALAA MANIT
TABA`ALHUDAA.