1.Kuumwa kichwa upande mmoja
2.Kujihisi unaingiliwa iwe ni ndotoni au la
3.Kutopenda ibada na unapokuwa kwenye nyumba ya ibada unahisi dhiki moyoni.
4.Kuwa na tamaa kupita kiasi na kujiona una thamani sna kinyume na ilivyo.
5.Kukosa usingizi bila sababu.
6.Kuota watu watishao
7.Kuota unapaa
8.Maneno machafu kwa mwenza na punde ni majuto.
9.Chuki ndani ya ndoa na kutamani kuacha au kuachwa
10.Kuwa dhiki mara tu umuonapo mwana ndoa mwenzako akiwa mbali unatamani kuwa nae karibu
11.Kuishiwa nguvu na hamu ya tendo la ndoa.
12.Kuwa na tamaa ya tendo la ndoa kupita kiasi.
13.Kuota unaingilia/unaingiliwa kawaida au kinyume na maumbile.
14.Kujihisi unaingilia/unaingiliwa na unajikuta umeshachafuka!
15.Kukosekana maelewano kwa wanandoa mara kwa mara
n.k dalili zipo nyingi kwa leo tuishie hapa.
Wasiliana nasi kwa namba za hapo juu kwa ufumbuzi wa matatizo hayo na mengineyo.