MCHANGO WA UJENZI WA MADRASAH

 


KUPAMBANA NA SHETANI

Kwa mgonjwa anayesumbuliwa na shetani atumie utaratibu ufuatao 

Weka Kwenye Computer yako / Simu yako Qur'aan yote Kisha sikiliza kwa Utaratibu wa kutumia kwa huyo mgonjwa ni kama ifuatavyo:-


JUMAMOSI NA JUMANNE                                                                                                  Utasikiliza


 Afaatiha,Albaqara & Aali Imraan.


JUMAPILI NA JUMATANO                                                                                               Utasikiliza

 Alkahfi,Assajda,Adhaariyaati & Aljum`a


JUMATATU NA ALHAMISI                                                                                                     Utasikiliza

 Aswaaffaati,Fuswilat,Addukhaan,Alfat-hu & Alhujuraat.


IJUMAA PEKEE                                                                                                                        Utasikiliza

 Al-a`araaf,Al-an`aam & Al-anfaal.

               

ZINGATIA KUWA UNAPASWA KUWA  UDHU MUDA WA KUSIKILIZA KUSIWEPO SAUTI ZA MIZIKI WALA MAONGEZI

Wasiliana Nami kwa namba zifuatazo  kwa huduma Bora Za dua/ visomo kwa haja mbalimbali 

Ustadh Hemedi Palike 

+255683585828 na WhatsApp +255657404585



            FADHILA YA KUFUTURISHA

Assalaamu Alaykum

 قال صلى الله عليه وسلم : ((مَنْ فَطَّرَ صَائِمًا كَانَ لَهُ مِثْلُ أَجْرِهِ غَيْرَ أَنَّهُ لَا يَنْقُصُ مِنْ أَجْرِ الصَّائِمِ شَيْئًا )) أخرجه أحمد والنسائي وصححه الألبان

Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallaam) amesema:

"Atakayemfuturisha aliyefunga atapata ujira kama ujira wake bila ya kupungua chochote katika ujira wa yule aliyefunga" [Ahmad, An-Nasaaiy – Ameipa daraja ya Swahiyh Shaykh Al-Albaaniy]
Hivyo ni juu ya kila Muislam Kupupia katika kitendo hiki cha kheri chenye Fadhila kubwa mbele ya Allah تبارك وتعالى

Kwa anayetaka kutuma sadaka yake ili kusaidia juhudi hii ya da'awa atume kwa Tigo Pesa namba 0745527392 na kwa wale walio nje ya Tanzania wawasiliane na Mimi kwa WhatsApp namba hizo hizo.
DUA MAALUMU KWA WADAU/ WASHIRIKA WETU

ASSALAAMU ALAYKUM

 KATIKA KUTHAMINI MICHANGO TUNAYOIPATA KUTOKA KWA WADAU NA WASHIRIKA WETU KUTOKA SEHEMU NCHI MBALI MBALI .
TUMEANDAA UTARATIBU MAALUM WA KUFANYA DUA KWA AJILI YAO KUWAOMBEA KUSTAWI/ KUFANIKIWA KATIKA SHUGHULI ZAO NA HALI ZAO MBALIMBALI
 Tokeo la picha la QURAN


UKIWA NI MIONGONI MWA WADAU /WASHIRIKA WETU WALIOPATA KUTOA MCHANGO WA HALI NA MALI KATIKA KUFANIKISHA SHUGHULI YOYOTE  INAYOHUSU HUDUMA ZETU AMA UNATAKA KUWA MIONGONI MWA WADAU WETU WASILIANA NASI KWA SIMU /WHATSAPP NAMBA +255715604488 UTAPATA MAELEKEZO YA NAMNA YA KUSHIRIKI NASI.

UTARATIBU WA DUA ITAKUWA KILA SIKU YA JUMAPILI YA MWISHO WA MWEZI   KWAKUWA TUNA WADAU KUTOKA NCHI MBALIMBALI TUTARATIBU MUDA KUTOKANA NA UTHIBITISHO WA  WASHIRIKI WETU.





KUMUUNGUZA SHETANI KWA KUTUMIA QUR'AN

Ndugu Msomaji 
Assalaamu alaykum
kwanza tumshukuru Mungu kwa kutupatia furasa nyingie kwa kuwa hai ktika muda huu na kuweza kuendelea na majukumu yetu ya kila siku.



Leo nimeona nilete somo litakaloweza kumsaidia msomaji wangu mwenye ujuzi wa kusoma Qur'an anapotaka kumsaidia mgonjwa anayesumbuliwa na shetani mkaidi katika mwili wake somo la namna ya Kumuunguza shetani kwa kutumia Qur'an.

QUR'AN YAMREJESHEA AJIRA BAADA YA KUFUKUZWA

Ndugu Msomaji 
Assalaamu alaykum
kwanza tumshukuru Mungu kwa kutupatia furasa nyingie kwa kuwa hai ktika muda huu na kuweza kuendelea na majukumu yetu ya kila siku.

Ni Matumaini yangu kuwa unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku nami nakuombea kheri na baraka katika harakati zako za utafutaji wa maisha.

Ndugu Msomaji leo nakuletea taarifa ya Dada anayeishi nchini Uingereza ambaye alinipigia simu Akaniambia kwamba namba yangu amepewa na Mmojawapo wa wasomaji wangu anayeishi nchini Sweden



ASALI NA HABAT SAUDAA DHIDI YA UGUMBA.

السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.
Amesema Allah mtukufu kuhusu Asali pale alipo wazungumzia nyuki.
يَخْرُجُ مِنْ بُطُونِهَا شَرَابٌ مُخْتَلِفٌ أَلْوَانُهُ فِيهِ شِفَاءٌ لِلنَّاسِ ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ
Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri.
(Annahli -69).
Ameizungumzi Mjumbe wa Allah Swalla Llaahu alayhi wasallama kufaa kwake Habbat Saudaa.
عن أبي هريرة -رضي الله عنه- أنه سمع رسول الله -صلى الله عليه وسلم- يقول: »في الحبة السوداء شفاء من كل داء، السام( رواه البخاري،5688)
Amesimulia Abuu Hurairah Allah amridhie,Hakika amemsikia Mtume wa Allah
 صلى الله عليه وسلم anasema,kuhusu Habbat Saudaa ni dawa ya kila ugonjwa (Bukhariy 5688).
Ugumba ni hali ya Mwanamke kutopata ujauzito, Mwanaume pia aweza kuwa mgumba
.

Yawezekana Mwanamke asishike mimba kabisa,au

BISMILLAAHIR RAHMAANIR RAHIYM
 TIBASAHIHI.BLOGSPOT.COM
HUU NDIO MSIMAMO NA MFUMO WA DUA ZETU

  • HATUPIGI RAMLI YA AINA YOYOTE KWANI RAMLI NI HARAMU
  • TUNAPINGA USHIRIKINA NA UKATILI DHIDI YA VIKONGWE, ALBINO NA WATOTO
  • HATUTOI PETE (ZINAZOITWA) ZA BAHATI, UTAJIRI.
  • HATUWAUNGANISHI WATU NA TAASISI YOYOTE YA KISHIRIKINA, KICHAWI NA KISHETANI
  • HATUNA USHIRIKIANO WALA MFUNGAMANO  WOWOTE NA TAASISI WALA WATU WANAOJIHUSISHA NA USHIRIKINA.
  • TUNAFANYA DUA/VISOMO KWA KUTUMIA QUR'AN NA SUNNAH
  • TUNAFANYA DA'AWAH KUWALINGANIA WATU WAACHANE NA USHIRIKINA, DHULMA, UKATILI NA UOVU WOWOTE KWA USTAWI WA NCHI NA JAMII. NA MENGINEYO MENGI YENYE KUFAIDISHA NA KUISALIMISHA JAMII.
SHUKRAN KWA USHIRIKIANO WAKO MUNGU AKUBARIK NA KARIBU TENA

IMETOLEWA 
NA 
TIBA SAHIHI BLOG
SIMU: 0715604488, 0783698787