Kwa mgonjwa anayesumbuliwa na shetani atumie utaratibu ufuatao
Weka Kwenye Computer yako / Simu yako Qur'aan yote Kisha sikiliza kwa Utaratibu wa kutumia kwa huyo mgonjwa ni kama ifuatavyo:-
JUMAMOSI NA JUMANNE Utasikiliza
Afaatiha,Albaqara & Aali Imraan.
JUMAPILI NA JUMATANO Utasikiliza
Alkahfi,Assajda,Adhaariyaati & Aljum`a
JUMATATU NA ALHAMISI Utasikiliza
Aswaaffaati,Fuswilat,Addukhaan,Alfat-hu & Alhujuraat.
IJUMAA PEKEE Utasikiliza
Al-a`araaf,Al-an`aam & Al-anfaal.
ZINGATIA KUWA UNAPASWA KUWA UDHU MUDA WA KUSIKILIZA KUSIWEPO SAUTI ZA MIZIKI WALA MAONGEZI
Wasiliana Nami kwa namba zifuatazo kwa huduma Bora Za dua/ visomo kwa haja mbalimbali
Ustadh Hemedi Palike
+255683585828 na WhatsApp +255657404585