FADHILA YA KUFUTURISHA

Assalaamu Alaykum

 قال صلى الله عليه وسلم : ((مَنْ فَطَّرَ صَائِمًا كَانَ لَهُ مِثْلُ أَجْرِهِ غَيْرَ أَنَّهُ لَا يَنْقُصُ مِنْ أَجْرِ الصَّائِمِ شَيْئًا )) أخرجه أحمد والنسائي وصححه الألبان

Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallaam) amesema:

"Atakayemfuturisha aliyefunga atapata ujira kama ujira wake bila ya kupungua chochote katika ujira wa yule aliyefunga" [Ahmad, An-Nasaaiy – Ameipa daraja ya Swahiyh Shaykh Al-Albaaniy]
Hivyo ni juu ya kila Muislam Kupupia katika kitendo hiki cha kheri chenye Fadhila kubwa mbele ya Allah تبارك وتعالى

Kwa anayetaka kutuma sadaka yake ili kusaidia juhudi hii ya da'awa atume kwa Tigo Pesa namba 0745527392 na kwa wale walio nje ya Tanzania wawasiliane na Mimi kwa WhatsApp namba hizo hizo.