CD KIBOKO YA MASHETANI NA UCHAWI ZIPO TAYARI

Assalaamu alaykum

Napenda kuwatangazia wasomaji wangu wote wa blog yangu ya TIBASAHIHI.BLOGSPOT.COM na Ruqyah healing centre/facebook.com kwamba zile CD kiboko zilizoandaliwa maalumu kwa ajili ya kupambana na mashetani, wachawi na uchawi zipo tayari na zina utaratibu maalum wa kusikiliza kuanzia jumamosi mpaka ijumaa. 
kwa anayezihitaji awasiliane nami kwa namba 0715604488 ili nimuelekeze namna ya kuzipata au anaweza kufika moja kwa moja ofisini Magomeni Mwembecha/ Kagera Dar Es Salaam
Pia naendelea kupokea maswali na ushauri wa masuala mbalimbali.
Utaratibu uliotumika kwenye CD hizi ni ule ulioelekezwa kwenye vitabu mbalimbali vya tiba za kisunnah kama vile,MINHAJUL QUR'AAN,WIQAAYATUL INSAAN N.K
Na athari zake zinaonekana bi idhni llaah.