SURA HIZI NI MUAFAKA KWA KUMSHINDA SHETANI  

KWA IDHINI YA ALLAAH S.W.T

Assalaam alaykum
Mpendwa msomaji wangu,

Sifa njema ni za mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo, ambae hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote wala yeyote,Na ziada ya rehma na amani zimuendee mtume wetu Muhammad s.a.w ambae ameletwa ili awe ni rehma kwa walimwengu wote,na aali zake na masahaba zake na wataomfuata mpaka siku ya kiama.
Leo kutokana na maombi ya wasomaji wengi ambao wapo mbali nimeona ni bora niwaelekeze sura zinazotumika katika kupambana na mashetani
iwapo mgonjwa atazitumia kwa utaratibu maalum.
Kwa wale wanaohofu watashindwa kuzitenganisha sura ikiwa wana CD ama kwenye COMPUTER zao kuna QUR`AAN KAMILI, wataburn kwenye CD nne (4) kwa utaratibu ufuatao:-

CD ya kwanza ataweka Alfaatiha,Albaqara na Aali `Imraan CD hii atakuwa anasikiliza kila Jumamosi na Jumanne baada ya swala ya Alfajir na Maghrib.
CD ya pili ataweka Alkahf,As-sajda,Ad-dhaariyaat na Aljum`a atakuwa anasikiliza kila Jumapili na Jumatano baada ya swala ya Alfajir na Maghrib.
CD ya tatu ataweka Aswaaffaat,Fuswilat,Ad-Dukhaan, Alfat-hu na Alhujuraat. atasikiliza kila Jumatatu na Alkhamis baada ya swala Alfajir na Maghrib.
CD ya nne ataweka Al-a`araaf,Al-an`aam na Al-anfaal na atasikiliza siku ya IJUMAA tu baada ya swala ya Alfajri na Maghrib.

ZINGATIA YAFUATAYO WAKATI WA KUSIKILIZA

Unapaswa kuwa na udhu, Kuelekea kibla, kujistiri (iwapo ni  mwanamke) mwili  mzima, kuepusha kelele za aina zozote na maongezi wakati wa kusikiliza Qur`aan,kutokucheka iwapo shetani atakuwa anaongea maneno ya kuchekesha. 

KWA WALE WANAOHITAJI CD HIZO NA NYINGINE KUTOKA KWANGU NAZIUZA KWA TSHS. 25,000/-

Unaweza kunipigia kwa namba zangu nikuelekeze namna ya kutuma pesa na kupata mfululizo kamili wa CD Ukihitaji pamoja  na dawa za kubatilisha uchawi ni Tshs 50,000/-  vyote nimeviandaa ki kawaida.
Was-salaamu `alaa manit taba`al hudaa.