Mpendwa Msomaji Wangu
Assalaam alaykum
Baada ya utangulizi huo leo nimeona ni bora kama nitawaelekeza utratibu huu iwapo mtu atakuwa anasumbuliwa na Shetani wakati ukimsomea Qur`an ni bora ukatumia utaratibu ufuatao baada ya kuhakikisha kuwa una udhu wewe, yeye pia na waliohudhuria hapo.
JE UPO MBALI? UNAHITAJI HUDUMA HII? SOMA HAPA.
Pia napenda kuwafahamisha wasomaji wangu wapendwa ambao wapo mbali lakini wanahitaji kusaidiwa mambo yao, iwe ni kuhusu magonjwa,wanadai hawalipwi,fitna makazini, wanachelewa kupandishwa vyeo na mishahara,wana migogoro makazini n.k lakini kutokana na majukumu yao hawawezi kuja,wanaweza kuwasiliana na mimi kwa namba zangu ili tufanye mojawapo ya haya mawili, kunitumia ticket ili niwafate au kuendelea na matibabu,visomo nikiwa hukuhuku.
Assalaam alaykum
Ni busara kubwa iwapo kwanza tutamshukuru Mwenyezimungu Kwa kutuwezeshe kukutana tena leo kwenye blogu yetu hii ambayo imekuwa ikituwezesha kwa Idhini ya Allaah kuelimishana mambo mbalimbali yahusuyo Elimu hii Muhimu ya Tibasahihi iliyoepukana na ushirikina, ambapo watu kutoka nchi mbalimbali duniani
ikiwemo nyumbani Tanzania wamekuwa wakiifuatilia kwa kupiga simu na kuuliza ama kueleza mambo na shida zinazowakabili,wengine nimekuwa nikiwatumia dawa kama vile Sweden,Germany, Canada na Kenya huku wengine nikiwashauri njia sahihi za kuwawezesha kujinasua na misukosuko inayowasibu.Lakini pia nikifarijika kujua kuwa wanaendelea vyema , hali zao zinakuwa na nafuu ya kiasi cha kuridhisha, na wengine mambo yao ya kimaisha yakiwanyookea.
ikiwemo nyumbani Tanzania wamekuwa wakiifuatilia kwa kupiga simu na kuuliza ama kueleza mambo na shida zinazowakabili,wengine nimekuwa nikiwatumia dawa kama vile Sweden,Germany, Canada na Kenya huku wengine nikiwashauri njia sahihi za kuwawezesha kujinasua na misukosuko inayowasibu.Lakini pia nikifarijika kujua kuwa wanaendelea vyema , hali zao zinakuwa na nafuu ya kiasi cha kuridhisha, na wengine mambo yao ya kimaisha yakiwanyookea.
Baada ya utangulizi huo leo nimeona ni bora kama nitawaelekeza utratibu huu iwapo mtu atakuwa anasumbuliwa na Shetani wakati ukimsomea Qur`an ni bora ukatumia utaratibu ufuatao baada ya kuhakikisha kuwa una udhu wewe, yeye pia na waliohudhuria hapo.
- Kumuadhinia mara 7 kwenye sikio lake la kulia
- Kumsomea Suuratul Faatiha mara 7
- Kumsomea Aayatul Kursiyyu mara 7
- Kumsomea Suuratus Swaaffaati mara 1
- Kumsomea aya 4 za mwisho za Suuratul Hashri mara 7
- Kumsomea Suuratut Twaariq mara 7
- Na MWISHO NI Kumsomea Mu`awwidhataini mara 7
Inshaa Allaah mgonjwa atapata nafuu.utaratibu huu unatakiwa kurudiwa rudiwa inapotokea hali ya mgonjwa imechelewa kutengamaa.