Msomaji Wangu Mpendwa
Assalaam Alaykum
Ndugu Msomaji tunaomba mchango wako ili utuwezeshe kutoa kitabu cha dua za tiba na kinga ambacho kimesheheni shuhuda na mawaidha mbalimbali ni kitabu kitakachowasaidia, kuwaelimisha watu wengi zaidi, Toa sadaka yako sasa na wewe uingie katika watakaopata thawabu za watakaoongoka kutoka katika ushirikina na maovu mbalimbali, gharama za uchapaji wa kitabu ni kubwa hivyo msaada wako ni muhimu tuchangie kwa njia zifuatazo:-
TIGO PESA No. 0715604488 M-PESA No. 0758293138
kwa wale wasomaji wetu wa nje ya nchi wawasiliane nami kwa simu na whatsapp namba +255715604488
Kwanza kabisa nitumie nafasi hii kumshukuru Allaah S.W.Tambae ndie muumba wa Mbingu na Ardhi na vilivyomo kwa kutuwezesha kukutana tena kwenye blog yetu hii tukielimishana mambo mbalimbali pia nimtakie ziada ya rehma na amani mtume wetu Muhmmad S.A.W na Aali zake na Masahaba zake na wote watakaowafuata kwa wema mpaka siku ya malipo.
Kutokana na maombi mengi niliyoyapokea ya wasomaji wangu wakiomba kuwepo na utaratibu wa kufanya dua ya kwa ajili ya shida mbalimbali nimeona ni vyema nikaandaa utaratibu utakaotufaa katika hilo na sasa kwa ajili ya utaratibu huu nimechagua siku ya jumapili mchana lakini kwa kuwa nafasi ya kufanyia shughuli hii ni finyu nitakuwa napokea watu 10 kwa siku hiyo ili tuweze kujumuika kwa nafasi.
Nitakuwa napokea maombi kuanzia sasa mpaka siku ya jumamosi jioni iwapo idadi itakuwa imeshatimia nitwataarifu na nitawapa kipaumbele wale waliokosa kwa siku husika katika wiki inayofuata na huku nikiwaelekeza namna ya kushiriki nasi kwa siku waliyokosa nafasi.
Naamini wale walioomba na wengineo watajitokeza ili tuweze kufaidika kwa pamoja ukiwa ni miongoni mwa wanaohitaji kuwa pamoja nasi katika hilo unaweza kunitafuta kwa namba zangu zilizopo hapo juu na vizuri ikakumbukwa kuwa katika hili wahusika ni watu wa itikadi zote, nyote mnakaribishwa.