MSAADA WA MISAHAFU, MAJUZUU, MIKEKA NA TENDE
Assalaamu Alaykum,
Msomaji Wangu Mpendwa,
Ili Kushiriki Katika Kutoa Mchango Wa Kuuwezesha Umma Kujifunza Na Kutekeleza Ibada Mbalimbali Mtandao Wako Wa Tibasahihi.Blogspot.Com Umeanzisha Kampeni Maalumu Ya Kukusanya Juzuu,Misahafu, Mikeka Na Tende (Mikeka/Carpets ni kwa Ajili Ya Misikiti Na Madrassa) Ili Kuwafikishia Wahitaji Mbalimbali.
Kumbuka Kuwa Tunaelekea Katika Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani Ambapo kumekuwa na Kawaida ya Kuongezeka Ugeni Katika Kujifunza Na Kutekeleza Ibada Katika Mwezi Huo, Hivyo Kufanya Mahitaji Ya Nyenzo Za Kujifunzia Na Kutekeleza Ibada Kuwa Makubwa.
Hivyo Tunakuomba Ushiriki Nasi Katika Harakati hizi Na Allah Atakulipa Kwani Hii Ni Katika Sadakatul Jaariya Ambayo Itakufaa Hata Baada Ya Kuondoka Katika Ulimwengu Huu.
Tunatarajia Kampeni Hii Itapokelewa Vizuri Na itapewa Ushirikiano Mkubwa Na In Shaa Allah Itakuwa Endelevu Hata Baada Ya Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan Pia Tunatoa Wito Kwa Waislam Wa Ndani Na Nje Ya Nchi Kujitokeza Kwa Wingi Katika Kuiwezesha Kampeni Hii Kufanikiwa Kwani Tutahitaji Kufika Mikoa Na Vijiji Mbalimbali Safari Ambazo Zitahitaji Nauli.
Ndugu Msomaji Pia Tunakushauri Kufikisha Na Kumhamasisha Kila Muislam Kushiriki Katika Kuiwezesha Kampeni Hii.
Pia Tunapokea Michango Ya Pesa Ili Kununua Mahitaji Haya Pamoja Na Nauli Za Kusambaza Mahitaji Haya Kupitia Namba Zifuatazo:-
Airtel Money 0783698787
Tigopesa 0715604488
Unaweza Kupiga Namba Hii 0783698787 Kwa Maelezo Zaidi.