KUPAMBANA NA SHETANI
Kwa mgonjwa anayesumbuliwa na shetani atumie utaratibu ufuatao
Weka Kwenye Computer yako / Simu yako Qur'aan yote Kisha sikiliza kwa Utaratibu wa kutumia kwa huyo mgonjwa ni kama ifuatavyo:-
JUMAMOSI NA JUMANNE Utasikiliza
Afaatiha,Albaqara & Aali Imraan.
JUMAPILI NA JUMATANO Utasikiliza
Alkahfi,Assajda,Adhaariyaati & Aljum`a
JUMATATU NA ALHAMISI Utasikiliza
Aswaaffaati,Fuswilat,Addukhaan,Alfat-hu & Alhujuraat.
IJUMAA PEKEE Utasikiliza
Al-a`araaf,Al-an`aam & Al-anfaal.
ZINGATIA KUWA UNAPASWA KUWA UDHU MUDA WA KUSIKILIZA KUSIWEPO SAUTI ZA MIZIKI WALA MAONGEZI
Wasiliana Nami kwa namba zifuatazo kwa huduma Bora Za dua/ visomo kwa haja mbalimbali
Ustadh Hemedi Palike
+255683585828 na WhatsApp +255657404585
FADHILA YA KUFUTURISHA
Assalaamu Alaykum
قال صلى الله عليه وسلم : ((مَنْ فَطَّرَ صَائِمًا كَانَ لَهُ مِثْلُ أَجْرِهِ غَيْرَ أَنَّهُ لَا يَنْقُصُ مِنْ أَجْرِ الصَّائِمِ شَيْئًا )) أخرجه أحمد والنسائي وصححه الألبان
Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallaam) amesema:
"Atakayemfuturisha aliyefunga atapata ujira kama ujira wake bila ya kupungua chochote katika ujira wa yule aliyefunga" [Ahmad, An-Nasaaiy – Ameipa daraja ya Swahiyh Shaykh Al-Albaaniy]
Hivyo ni juu ya kila Muislam Kupupia katika kitendo hiki cha kheri chenye Fadhila kubwa mbele ya Allah تبارك وتعالى
Kwa anayetaka kutuma sadaka yake ili kusaidia juhudi hii ya da'awa atume kwa Tigo Pesa namba 0745527392 na kwa wale walio nje ya Tanzania wawasiliane na Mimi kwa WhatsApp namba hizo hizo.
Amesema Allah mtukufu kuhusu Asali pale alipo wazungumzia nyuki.
Na kutoka matumbo yao kinatoka kinywaji chenye rangi mbali mbali; ndani yake kina matibabu kwa wanaadamu. Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri.
(Annahli -69).
Ameizungumzi Mjumbe wa Allah Swalla Llaahu alayhi wasallama kufaa kwake Habbat Saudaa.
عن أبي هريرة -رضي الله عنه- أنه سمع رسول الله -صلى الله عليه وسلم- يقول: »في الحبة السوداء شفاء من كل داء، السام( رواه البخاري،5688)
Amesimulia Abuu Hurairah Allah amridhie,Hakika amemsikia Mtume wa Allah
صلى الله عليه وسلم anasema,kuhusu Habbat Saudaa ni dawa ya kila ugonjwa (Bukhariy 5688).
Ugumba ni hali ya Mwanamke kutopata ujauzito, Mwanaume pia aweza kuwa mgumba
.
Yawezekana Mwanamke asishike mimba kabisa,au
- HATUPIGI RAMLI YA AINA YOYOTE KWANI RAMLI NI HARAMU
- TUNAPINGA USHIRIKINA NA UKATILI DHIDI YA VIKONGWE, ALBINO NA WATOTO
- HATUTOI PETE (ZINAZOITWA) ZA BAHATI, UTAJIRI.
- HATUWAUNGANISHI WATU NA TAASISI YOYOTE YA KISHIRIKINA, KICHAWI NA KISHETANI
- HATUNA USHIRIKIANO WALA MFUNGAMANO WOWOTE NA TAASISI WALA WATU WANAOJIHUSISHA NA USHIRIKINA.
- TUNAFANYA DUA/VISOMO KWA KUTUMIA QUR'AN NA SUNNAH
- TUNAFANYA DA'AWAH KUWALINGANIA WATU WAACHANE NA USHIRIKINA, DHULMA, UKATILI NA UOVU WOWOTE KWA USTAWI WA NCHI NA JAMII. NA MENGINEYO MENGI YENYE KUFAIDISHA NA KUISALIMISHA JAMII.
NA
TIBA SAHIHI BLOG
SIMU: 0715604488, 0783698787